Social Icons

Featured Posts

Monday, 10 October 2016

Matukio mbalimbali tukiwa location tukishoot albam ya tatu.



Picha za matukio mbalimbali tukiwa location kwaajili ya kuandaa kazi mpya  iliyosimamiwa na production makini na yenye viwango #Rajoproduction.












Tuesday, 31 May 2016

SIKUKUU YA EKARISTI TAKATIFU 29/05/2016

SAKRAMENTI YA EKARISTI

Na. 1322 - Ekaristi Takatifu hukamilisha kuingizwa katika ukristo wale walioinuliwa katika heshima ya ukuhani wa kifalme kwa ubatizo na kufananishwa kwa ndani zaidi na Kristo na kwa kipaimara hushiriki pamoja na jumuiya yote katika sadaka moja ya Bwana.

Na. 1323 - mwokozi wetu katika karamu ya mwisho usiku alipotolewa aliweka sadaka ya ekaristi ya mwili na damu yake. Alifanya hivyo ili kuendeleza sadaka ya msalaba siku zote mpaka atakaporudi, kusudi amwachie bibi arusi mpendwa yaani kanisa ukumbusho wa kifo chake na ufufuko wake sakramenti ya upendo, umoja, kifungo cha mapendo, karamu ya pasaka ambamo Kristo huliwa na roho hujazwa neema na ambamo tunapewa amana ya uzima wa milele.
Na. 1324 - Ekaristi ni chemichemi na kilele cha maisha yote ya kikristo. Sakramenti nyingine kama zilizo pia huduma zote za kanisa na kazi za utume zaungana na ekaristi na zaelekezwa kwake. Kwani katika ekaristi takatifu mna kila hazina ya kiroho ya kanisa yaani kristo mwenyewe pasaka wetu.
Na. 1325 - Ekaristi ndio ishara thabiti na sababu ya hali ya juu kabisa ya ushirika katika uzima wa kimungu na umoja ule wa taifa la Mungu ambao unalifanya kanisa liwepo ekaristi ni kilele cha tendo la Mungu la kuutakatifuza ulimwengu katika kristo na kilele cha tendo la kumwabudu Mungu wampalo watu kristo na kwa njia yake wampalo baba katika mtakatifu.
Na. - 1326 - mwishowe kwa njia ya adhmisho la ekaristi tunaungana tayari sisi wenyewe na liturjia ya mbinguni na tunaanza kutangualia kushiriki uzima wa milele Mungu atakapokuwa yote katika wote - 1 Kor. 15:28 - basi vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake ndipo mwana mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiisha vitu vyote ili kwamba Mungu awe yote katika wote.

Na. - 1327 - kwa ufupi ekaristi ndiyo juma na muhtasari wa imani yetu, namna yetu ya kufikiri hulingana na ekaristi na ekaristi kwa zamu yake huimarisha namna yetu ya kufikiri.




BAADHI YA PICHA SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA EKARISTI TAKATIFU KATIKA PAROKIA YA MT. MAXMILIAN MARIA KOLBE MWENGE 2016. 

                              Mr. Makwandi, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.
 
                           Mama Paschal, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.

                           Glory Mlembe, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.

                             Mr. Makene, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.

                             Mr. George, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.


                               Mr. Deligo, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.

                             Mr. Adam, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.
                               Mr. Timoth, mwimbaji kwaya ya Mt. Augustino Mwenge.



                                     Wapiga Ngoma wakipiga ngoma kwa madaha kabisa.


                                             Watoto wakimwaga maua wakisafisha njia.


                                             Baadhi ya wanakwaya wa mt. Boromeo.


                                                Ndugu Chrispin akifanya yake.



                                                       Utoto mtakatifu mwenge.
                             Mwenyekiti wa Parokia ya mwenge Paroko Fr. Eugene SDs.




                                         Baadhi ya wanakwaya wa mt. Cecilia Mwenge.

                                                                     Masista.







 
Baadhi ya wanakwaya ya Mt. Augustino Mwenge.











Tuesday, 10 February 2015

Monday, 9 February 2015

Baadhi ya picha za matukio kwaya ya Mt. augustine wakiwa katika ziara ya uinjilishaji kiluvya




Hizo ni baadhi picha za matukio mbalimbali ya kkwaya ya mt. augustino mwenge katika ziara ya uinjilisha katika parokia ya watakaifu wote kiluvya iliyofanyika tarehe 08/02/2015

Thursday, 19 September 2013

Shukrani....!!

Awali ya yote tuna mshukuru mwenyezi mungu kwa kutusimamia toka tumeanza huduma hii ya uiinjilishaji kwa njia ya nyimbo mpaka hapa tulipo sasa. pili tunawashukuru waumini wote wa parokia ya Mwenge kwa kutupa support kwa njia mbalimbali kuanzia maandalizi ya kutaka kufanya video shooting yetu ya kwanza ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua mwisho, bila kuisahau kanda ya Mlalakuwa kwa kutulea kama watoto wao wakitupatia huduma mbalimbali bila kuchoka. Mungu awabariki ......Amina!


                                                  Hii ni moja ya picha wakati wa sooting......!

Tutajitahidi kupost picha nyigi zaidi za siku hiyo.

 

Sample text

Sample Text

Sample Text