Thursday, 19 September 2013

Shukrani....!!

Awali ya yote tuna mshukuru mwenyezi mungu kwa kutusimamia toka tumeanza huduma hii ya uiinjilishaji kwa njia ya nyimbo mpaka hapa tulipo sasa. pili tunawashukuru waumini wote wa parokia ya Mwenge kwa kutupa support kwa njia mbalimbali kuanzia maandalizi ya kutaka kufanya video shooting yetu ya kwanza ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua mwisho, bila kuisahau kanda ya Mlalakuwa kwa kutulea kama watoto wao wakitupatia huduma mbalimbali bila kuchoka. Mungu awabariki ......Amina!


                                                  Hii ni moja ya picha wakati wa sooting......!

Tutajitahidi kupost picha nyigi zaidi za siku hiyo.

0 comments:

Post a Comment

 

Sample text

Sample Text

Sample Text