Hii ni kwaya iliyoanza huduma ya uiinjilishaji katika jumuiya ndogondogo za kanda ya Mlalakuwa parokia ya Mwenge, kwa sasa tunamshukuru Mungu tumepata nafasi ya kuimba ibada za misa za parokia katika parokia ya mwenge.
Mpaka sasa tumefanikiwa kurekodi albam 2 zinazojulikana kama:
1. Neno la Mungu Dira ya Maisha Yangu
2. Dunia Yetu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
0 comments:
Post a Comment