Baadhi ya picha za harusi za mwanakwaya wa augustine, ndugu Chrispin aliyefunga pingu za maisha katika parokia ya mwenge mt. maxmilian maria kolbe tarehe 7/2/2015.
NDUGU CHRISPIAN AKIWA KATIKA POZI TOFAUTI NA MKEWE.
Familia ya Augustino inawatakia kila la kher katika maisha yenu ya ndoa
0 comments:
Post a Comment