Tumsifu Yesu Kristu wapendwa katika Bwana, kwasasa tunapenda kuwafahamisha kuwa mwishoni mwa mwezi huu wa kumi au wa kumi na moja mwanzoni kutakuwa na tukio la aina yake katika kwaya yetu ya Mt. Augustino Mwenge. Tukio lenyewe litakuwa ni uzinduzi wa albamu yetu ya pili, ambayo itapatikana katika mfumo wa tape's, CD's, VCD's na DVD's.
Tunawaomba mtuuge mkono katika kufanikisha jambo hili.
Subscribe to:
Posts (Atom)
0 comments:
Post a Comment